Category: MCHANGANYIKO
Wizara ya ardhi yaja na mabadiliko makubwa ya kimfumo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema inaendelea kufanya maboresho makubwa ya kimfumo na muundo kwa lengo la kuewezesha mambo mengi ya wizara hiyo kufanyika kimfumo, Hayo yamebainishwa leo Agosti 31, 2023 na Katibu…
Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, iliyopo Shehia ya Tasani, Makunduchi, inayojengwa na Benki ya NMB, ikitarajia kugharimu Sh….
Chanzo cha DC Hanafi Mtwara kutumbuliwa
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo akiwa Kibaha, Pwani kufunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa amesema anamfuta kazi Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Hanafi Msabaha kutokana na kupeleka mradi mahali ambako haukutakiwa kwenda…
NMB yakabidhi misaada ya mil. 51/- kwa shule 9 za sekondari, msingi Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katika jitahada za kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita kutatua changamoto kwenye Sekta ya Elimu, Benki ya NMB, imekabidhi misaada ya viti na meza zake 134, madawati 200 na mabati 400 kwa shule…