JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia akabidhiwa Rasmi uenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama SADC

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Zimbabwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan leo ameshiriki mkutano wa 44 wa wakuu wa nchi na serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Africa (SADC) ambapo pia  amekabidhiwa rasmi…

Madaktari nchini India wafanya mgomo wa kitaifa baada ya mmoja wao kubakwa na kuuawa

Madaktari nchini India leo wameanza mgomo wa kitaifa na kuchochea maandamano zaidi baada ya ubakaji na mauaji ya kikatili ya mwenzao ambayo yamesababisha hasira iliyoangazia suala sugu la unyanyasaji dhidi ya wanawake. Wanafunzi wanaosemea udaktari nchini India wafanya mgomo Jumamosi…

Rais Samia na maraisi wengine wakiwasili kushiriki Mkutano wa 44 SADC Harare Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Mhe. Emerson Mnangagwa kushoto akiongozana na Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco wakielekea ukumbi wa mkutano kwa ajili ya kushiriki mkutano huo unaofanyika Harare Zimbabwe.  Kutoka kulia ni Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ciril Ramaphosa, Mfalme Mswati…

Amuua mwanamke kwa kumnyonga na kamba

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia,Tabora JESHI la Polisi Mkoani Tabora linamshikilia mtu mmoja (jina limehifadhiwa) kwa tuhuma za kumuua Juliana Mbogo (40) mkazi wa Mtaa wa Maselele kata ya Cheyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora. Kamanda wa Jeshi la Polisi…

Wakandarasi mradi wa TAZA ( kv 400) watakiwa kukamilisha kazi kwa wakati

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Leo Agosti 17, 2024 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameongoza kikao cha Tatu cha Kamati ya Uongozi ya Mradi wa usafirishaji umeme wa msongo wa kilovoti 400 wa Tanzania- Zambia (TAZA) kilichofanyika…