Category: MCHANGANYIKO
EWURA: Watanzania tembeleeni RUAHA mjionee
Na Mwandishi Wetu,Iringa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Leo 11 Nov 2022, wamezuru Hifadhi ya Wanyama Ruaha kujionea vivutio mbalimbali na kuchangia ukuaji wa mapato yatokanayo na utaliinchini. Wajumbe…
EWURA yajipanga kutatua malalamiko ya watumiaji huduma za nishati,maji
Na Mwandishi Wetu,Iringa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Mhandisi Modeatus Lumato,amesema kuwa wamejipanga kupokea na kutatua malalamiko ya watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji ili wananchi wapate thamani halisi ya huduma…
Ummy: Tanzania bado ina uhaba wa madaktari bingwa
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Tanzania bado ina uhaba mkubwa wa Madaktari Bingwa hivyo uwepo wa mpango wa kambi ya upasuaji wa huduma za kibingwa unahitajika sio kwa mkoa wa Tanga bali ni mikoa yote nchini. Ummy ambaye pia…
Serikali yajipanga kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amesema kuwa Serikali imeweka mpango mkakati wa ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya vyote nchini kwa lengo la vituo hivyo kuanza kutoa huduma kwa…
Gwajima awabana wazee malezi ya vijana wa kiume
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amewataka Wanaume wazee kuwaandaa na kuwalea vijana kwa ajili ya maisha ya uzeeni. Waziri Dkt. Gwajima ametoa rai hiyo wakati wa Uzinduzi wa harambee ya kuchangia chama…