JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

FFU waikosesha TRA mabilioni

Serikali ya Awamu ya Tano ikiwa inahaha kuongeza mapato, kampuni moja ya mafuta inayolipa kodi ya wastani wa Sh bilioni 3 hadi Sh bilioni 4 kwa mwezi, imefungiwa ofisi zake kutokana na mgogoro wa ardhi usioihusu, JAMHURI limebaini. Kwa hatua…

Barua ya elimu kwa Rais Magufuli

Mheshimiwa Rais, nianze kwa kukupa pole kwa majukumu mazito uliyonayo ya kulijenga taifa letu. Wananchi wanyonge wamekuwa na imani kubwa na wewe kutokana na juhudi zako ambazo umeishazionyesha katika kuwaletea maendeleo tangu uingie madarakani. Tunakutia moyo na kukuombea uendelee na…

Yah: Serikali lazima itishe watu ili mambo yaende

Kuna wakati niliwahi kumsikia Mwalimu Julius Nyerere akihutubia wananchi juu ya kulipa kodi. Katika hili alisema serikali ni lazima wawe wakali ili kila mtu aweze kulipa kodi, kodi ni kwa maendeleo ya nchi na watu wake, haiwezekeni Serikali icheke na…

Dangote amponza Kairuki TIC

Wakati aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), ametajwa kutenguliwa uteuzi wake kwa kukataa kuchukua mshahara wa Serikali kwa miaka mitatu mfululizo, uchunguzi umebaini kuwa jipu la kusamehe kodi Kampuni ya Saruji ya Dangote ndilo lililomwondoa. Uchunguzi uliofanywa na…

Bunge lapasuka

Tuhuma za wabunge kuchukua au kuomba rushwa kutoka katika mashirika na taasisi wanazozisimamia, zimechukua sura mpya baada ya kubainika mkakati unaosukwa na wabunge wafanyabiashara ya mafuta kuiangamiza Mamlaka ya Nishati na Maji (EWURA), waweze kurejesha uchakachuaji wa mafuta. Mbali na…

Tigo ‘inavyoumiza’ wajawazito Msewe

Kwa muda sasa MM amekuwa haonekani. Kuna maswali mengi juu ya kupotea kwake, lakini anawahakikishia wasomaji kuwa bado yupo, ukiachilia mbali matatizo ya kiafya ya hapa na pale yanayosababishwa na umri wake. Ni kwa sababu hizo hizo za umri, MM…