Category: MCHANGANYIKO
Serikali kuja na mapendekezo ya sheria mpya ya usimamizi wa maafa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imeandaa mapendekezo ya kutungwa kwa sheria mpya ya usimamizi wa maafa ili kuweka mfumo wa udhibiti na uratibu wa maafa kwa ajili ya hatua za kuzuia na kupunguza madhara ya majanga, kujiandaa kukabili na kurejesha hali…
Mabula: Msifanye kazi kwa mazoea,mnaharibu utendajikazi wenu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amemuelekeza Katibu wa Wizara hiyo kuhakikisha anaanza kuchukua hatua mara moja kwa Makamishna wasaidizi wa ardhi wale walioshindwa kukidhi matarajio pamoja na wasaidizi wao. Aliyasema hayo…
‘Tumieni vema msamaha kusalimisha
silaha mnazomiliki kinyume cha sheria’
Na A/INSP Frank Lukwaro,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amewataka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kutumia vyema msamaha uliotolewa na Serikali wa kipindi cha miezi miwili kusalimisha silaha haramu kwa hiari katika vituo vya…
IGP Wambura awataka askari kutenda haki
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kilimanjaro Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka askari wa Jeshi hilo kuzingatia uadilifu na kutenda haki wakati wanapo wahudumia wananchi kwa kufanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo ya kulinda watu na mali zao….
Naibu IGP Balozi Dkt.Abdulrahamani Kaniki asisitiza uadilifu
Aliyekuwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Balozi Dkt Abdulrahamani Kaniki amelitaka Jeshi la Polisi kuendelea kuwa waadilifu kwa kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za nchi na kwa mujibu wa wakanuni mbalimbali zinazoliongoza Jeshi…