Category: MCHANGANYIKO
Wabunge waipa tano Serikali kwa kutangaza utalii na kuongeza idadi ya wageni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma¹ Baadhi ya wabunge wamepongeza juhudi za Serikali katika kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini hasa kupitia filamu ya Tanznaia the Royal Tour na amaizing Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni nchini China. Akichangia mjadala wa bajeti ya…
Majaliwa awataka wakazi Geita kuchangamkia fursa za uvuvi
Na Daniel Limbe, JamhuriMwsia,Chato WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa, amewataka wakazi wa mkoa wa Geita kujikita kwenye sekta ya uvuvi ili kuongeza ajira na kuinua vipato vyao. Aidha amesema Serikali ya Awamu ya Sita imejikita kusogeza…
Wanaume B/MULO hatarini matumizi ya viagra
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia,Biharamulo MATUMIZI mabaya ya dawa za kutibu ugonjwa wa shinikizo la damu(Viagra) unatishia ongezeko la vifo vya wanaume wilayani Biharamulo mkoani Kagera kutokana na baadhi ya watu kuzitumia holela kwa imani za kuongeza nguvu za kuhimili tendo…
Wabunge Marekani waimwagia sifa Tanzania
Wawakilishi 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania huku wakisifia namna ambavyo Hifadhi za Taifa zimesheheni wanyamapori. Hayo yamesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki…
Wasanii wa Watanzania, Korea kucheza filamu kwa pamoja
Ahadi hiyo imetolewa na Rais wa Umoja wa Watayarishaji wa Filamu wa Korea (Korean Films Producers Association-KFPA), Bw. Eun Lee mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokutana nao jijini Seoul Juni 01, 2024….