JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ukarabati wa Mv Magogoni kukamilika Desemba 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya Bungeni jijini Dodoma…

Rais Mwinyi awaita wawekezaji wa Ufaransa

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika maeneo mbalimbali. Dk Mwinyi amesema hayo leo Mei 29,2024 katika Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty Zanzibar alipofungua mkutano wa majadiliano ya…

Wasanii wamshukuru Rais Dkt Samia kuwajumuisha ziara zake nje ya nchi

Na Magrethy Katengu, Jamhuri Media, Dar es Salaam WASANII wa Tasnia ya Filamu Tanzania (BONGO MOVIE) wanamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kauli yake ya kuanza kuwajumuisha Wasanii mbalimbali kwenye ziara zake rasmi…

Serikali kuwachukulia hatua kali vishoka wanaoshikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni…

Rais Dk Samia kufanya ziara nchini Korea kwa siku sita

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea siku sita kuanzia Mei 30,2024 Akitoa taarifa hiyo leo Jijini Dar es salaam Mei 29,2024…