Category: MCHANGANYIKO
Kitila Mkumbo, Angellah Kairuki warudisha fomu kwa mtindo huu
……………………………………… Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Angellah Kairuki, amerudisha rasmi fomu ya uteuzi kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), hatua muhimu kuelekea kuteuliwa rasmi kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu….
Watoto wawili wauawa kwa risasi kanisani Marekani
Shirika la upelelezi la Marekani FBI limeanzisha uchunguzi dhidi ya kisa cha mtu aliyekuwa na bunduki kuua watoto wawili kanisani kwa kuwapiga risasi. Kisa hicho kimetokea jana Jumatano katika kanisa la Kikatoliki huko Minneapolis ikiwa ni wiki ya kwanza ya…
Kesi ya kupinga kutoteuliwa Mpina yaendelea mahakamani
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said amesema kwamba ACT Wazendo haikubaliani na maamuzi ya kutenguliwa kwa mgombea urais Luahaga Mpina kwa kile walichodai kuwa yamefanywa kinyume na Sheria na Katiba. “Tume Huru ya Uchaguzi(INEC) haina mamlaka kisheria kumuengua mgombea…
Waziri Pembe ahimiza amani wakati wa uchaguzi
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma, amewataka Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Jeshi la Polisi kuendelea kuimarisha Amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ili uchaguzi huo ufanyike katika hali ya utulivu. Akizungumza katika…
Mbio za Urais 2025, vyama 17 vyapeta, ACT Wazalendo nje
Mbio za Urais 2025: Vyama 17 Vyaidhinishwa, ACT Wazalendo Nje Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 27, 2025, imetangaza orodha ya wagombea wa urais watakaoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa…