Category: MCHANGANYIKO
NIRC yaja na Teknolojia Mpya za Umwagiliji Nane Nane Dodoma, 2025
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imewasilisha teknolojia mpya za kisasa za umwagiliaji katika kijiji cha Mitambo kwenye maonyesho ya nanenane Dodoma. Teknolojia hizo ni pamoja na mitambo ya umwagiliaji kwa njia ya mvua (CENTER…
Waziri Mkuu akutana na Rais wa Afreximbank
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Biashara ya Afrika (Afreximbank), Dk George Elombi na kuainisha maeneo zaidi ya uwekezaji Tanzania. Majaliwa amesema anaamini kuwa katika kipindi…
JKCL kuanza mchakato wa upandikisaji wa moyo
Na Mwandishi Maalumu, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza mchakato wa kuanzisha huduma ya upandikizaji wa moyo inayotarajiwa kukamilika baada ya miaka mitano na kuanza kutoa huduma hiyo. Kukamilika kwa mchakato huo kunatarajiwa kuendelea kuiweka Tanzania…
Rais Samia aipa neema miradi ya kuzalisha umeme Iringa
*Atoa zaidi ya bilioni 15 mradi wa Mwenga Hydro Ltd Mwenga Hydro Ltd yaunganisha wateja 8,000 huduma ya umemel Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi bilioni 15 kwenye mradi wa…
Tanzania haitakuwa na haja ya kuagiza bidhaa za ujenzi kutoka nje – Jafo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selamani Jafo ameeleza kuwa ,ndani ya muda mfupi, Tanzania haitakuwa na haja ya kuagiza bidhaa mbalimbali za ujenzi kutoka nje ya nchi kama mabati, vioo, nondo, na saruji. Haya…