Category: MCHANGANYIKO
Dube aaga rasmi Azam FC
Na Isri Mohamed, JamhuriaMedia, Dar Mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube raia wa Zimbabwe, kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza rasmi kuachana na klabu ya Azam FC, baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne. Hivi karibuni Azam FC walitoa taarifa ya…
Mbibo ataka shughuli za utafiti, uchimbaji madini mkakati wa kuongezwa Afrika, Asia Duniani
*Aeleza Juhudi za Makusudi Zilizochukuliwa na Serikali Kuboresha Mazingira ya Uwekezaji Nchini Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema ili kuwezesha usambazaji wa madini muhimu na mkakati ikiwemo matumizi ya nishati safi, shughuli za utafiti na uchimbaji zinapaswa…
Mollel, Nkya watikisa michuano ya gofu kumuenzi Lina
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Nuru Mollel wa klabu ya Arusha Gymkhana na Fadhil Nkya kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam wameibuka mabingwa katika michuano ya kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya gofu Lina…
Zuchu afungiwa miezi sita Zanzibar
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, ( BASSFU), limemfungia msanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu kwa jina la Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar kwa kipindi cha miezi sita….
Bashungwa atoa masaa matatu kurejeshwa mawasiliano ya barabara Mtwara – Masasi yaliyokatika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Masasi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji…