Category: MCHANGANYIKO
Bashungwa atoa masaa matatu kurejeshwa mawasiliano ya barabara Mtwara – Masasi yaliyokatika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Masasi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji…
Haiti yatangaza hali ya hatari
Serikali ya Haiti imetangaza hali ya hatari na amri ya kutotoka nje usiku. Watu hawataruhusiwa kutoka nje kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa 11 alfajiri ili kurejesha udhibiti wa nchi baada ya gereza kuu kuvamiwa na genge la…
JKCI yaombwa kutoa elimu ya lishe
Na Mwandishi Maalumu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wameiomba Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuendelea kutoa elimu ya lishe bora ambayo itawasaidia kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza yakiwemo magonjwa ya moyo. Ombi hilo limetolewa…
Mwekezaji adaiwa kuharibu mashamba, wanawake wamlilia mama Samia Lupunga Pwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Kaya zaidi ya 900 za Kijiji cha Lupunga, mkoani Pwani wamo hatarini kukumbwa na njaa baada ya kinachodaiwa mwekezaji kuvamia mashamba na kuharibu mazao kinyume cha sheria. Akizungumza hivi karibuni kwa niaba ya wananchi, Mwenyekiti…