JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Vijiji vyote Tanzania Bara kufikiwa na nishati ya umeme – Kapinga

📌 Kata ya Buganzo wilayani Kahama kufikishiwa umeme kabla ya tarehe 5 Julai 📌 Mbunge wa Msalala aishukuru Serikali Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Kahama Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameeleza kuwa, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) inatekeleza…

Viongozi wa dini waaswa kuepuka migogoro

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Viongozi wa madhehebu ya dini wanaoteuliwa na kupatiwa dhamana ya kuongoza jamii wametakiwa kujiepusha na migogoro kutokana na madaraka yao,badala yake waisaidie serikali katika kuilinda amani na utulivu kama walivyoitwa kwenye nafasi zao. Kaimu msajili…

Safari za treni za kisasa SGR zaongezwa

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza safari za treni ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro ambapo kuanzia Julai 5, abiria wataanza kutumia treni ya haraka (express train) isiyosimama vituo vya kati. Taarifa iliyotolewa na…

Waziri Silaa kuunda timu ya wataalamu wa ardhi kufanya uhakiki wa mipaka, historia Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani WAZIRI wa ardhi, Jerry Silaa amewahakikishia wakazi wa Mbala,Pingo -Chamakweza Chalinze mkoani Pwani kuwa atapeleka timu ya watalaamu wa ardhi ili kufanya uhakiki wa mipaka katika mgogoro uliodumu kwa miaka 25 ambao bado haujapata suluhu. Aidha…