JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TPHPA yawashauri wakulima kuendelea kutumia mbegu za asili

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHPA) imetoa wito kwa wakulima nchini kuendelea kutumia mbegu za asili ili zisiweze kupotea. Wito huo umetolewa na Kaimu Meneja wa Kitengo cha Uhifadhi wa Bioanuai kutoka Mamlaka…

DASPA: Wakulima tumieni mbegu ya mtama aina ya TARUSOR1

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKULIMA wa zao la Mtama wameshauriwa kutumia mbegu ya mtama aina ya TARISOR1 kwa kuwa mtama huo hauliwi na ndege kama ilivyo kwa mtama mwingine. Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Wakulima…

Watanzania ikimbilieni VETA kupata ujuzi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Prof. Sifuni Mchome ametoa wito kwa Watanzania kwenda VETA kujifunza ili kuweza kupata ujuzi wa aina mbalimbali. Ameyasema hayo jana jijini Dodoma…

Miradi mitano yenye thamani ya bilioni 7/- yabainika kuwa na kasoro Ruvuma – TAKUKURU

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Mkoa wa Ruvuma,katika kipindi cha miezi sita imefuatilia jumla ya miradi 31 yenye thamani ya Sh.bilioni 19,681,124,604.63 kati ya hiyo miradi mitano yenye thamani ya Sh.bilioni 7,053,240,916.51 imebainika…

MOI yatoa ushauri kwa magonjwa ya mifupa, masuala ya lishe katika maonesho Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeshiriki maonesho ya kitaifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) kwa kutoa elimu kwa magonjwa ya mifupa pamoja na masuala ya lishe. Akizungumza na waandishi wa habari…

Wananchi 387 wapatiwa msaada wa kisheria katika maonesho Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WANANCHI 387 wameweza kutembelea katika Banda la Wizara ya Katiba na Sheria lililopo katika maonesho ya kitaifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) ili kuweza kupata msaada wa kisheria hususani katika maeneo ya migogoro ya ardhi…