JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mwekezaji anyimwa hati kwa miaka 25

*Kisa kakataa kutoa rushwa  kwa maofisa wa PSRC Dar es Salaam Na Dennis Luambano Kundi la kampuni za Wellworth Hotels and Lodges Limited limenyimwa hatimiliki na ‘share certificates’ za Hoteli ya Kunduchi Beach and Resort pamoja na nyumba za wafanyakazi…

Polisi kujichunguza mauaji ni kututania

Na Deodatus Balile Kashfa kubwa imeliandama Jeshi la Polisi nchini kutokana na mauaji ya kijana mfanyabiashara Musa Hamisi (25). Kuna taarifa mbili kuwa Hamisi aliuawa baada ya kuporwa Sh milioni 33.7, ilhali wengine wakisema ameporwa Sh milioni 70. Hamisi alikuwa…

Dk. Mwinyi ataka mabadiliko

Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza haja kwa watendaji serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na serikali itekelezeke.  Rais Dk. Mwinyi amesema hayo baada…

Nape ampongeza Rostam                      kulipa mafao ya wafanyakazi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amempongeza mmiliki wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Rostam Aziz, baada ya kulipa mafao ya waliokuwa wafanyakazi wake. Pongezi za Nape kwenda kwa…

Zitto: Harakati lazima ziendelee

*Atangaza ‘Baraza Kivuli la Mawaziri’ nje ya Bunge Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mwanasiasa maarufu nchini, Zitto Kabwe, amesema wananchi wanahitaji kupata hoja mbadala. Akizungumza na wahariri na wanachama wa Jukwaa la…

RPC apuuza amri ya mahakama

Dar es Salaam Na Alex Kazenga Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi (RPC) Ilala, Deborah Magiligimba, anadaiwa kupuuza amri ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, JAMHURI linataarifu. Inadaiwa kuwa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imemuandikia barua RPC kumtaka…