Category: MCHANGANYIKO
Uamuzi wa Rais Samia wawakosha wakazi wa Nanyamba
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wakazi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Wilaya Mtwara Vijijini wamefurahishwa na uamuzi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan wakuitaka Bandari ya Mtwara kuanza kusafirisha korosho. Akizungumza leo wilayani humo katika mahojiano maalum na Afisa wa…
Kunenge awakumbusha waratibu TASAF kuwatoa wanufaika walioimarika na kuwaingiza wengine
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amewakumbusha Waratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuhakikisha wanafanya ufuatiliaji kwa wanufaika wa mpango huo ili kuwatoa walioimarika na kutoa nafasi kwa wenye hali mbaya. Vilevile…
DKT. Mwinyi azindua ubalozi wa Tanzania Cuba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezindua Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Havana nchini Cuba katika hafla maalum iliyofanyika jijini Havana tarehe 14 Septemba 2023. Akizungumza katika uzinduzi wa Ubalozi huo…
Waziri Mkuu azindua mpango mkakati wa AMREF
*Asisitiza mashirika yasiyo ya kiserikali yazingatie maadili WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua Mpango Mkakati wa miaka nane wa AMREF Tanzania na kuahidi kuwa Serikali itaendelea kufanya ufuatiliaji ili kuhakikisha afua zilizopo katika mpango huo zinatekelezwa kwa ufanisi na kuboresha huduma…
Korea Kusini yakaribishwa kuwekeza Tanzania
Na Na: Saidina Msangi, WF, Busan, Korea Kusini Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Korea ya Kusini kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo nishati na kilimo nchini Tanzania ili iweze kufikia lengo la kuwa na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Balozi wa…