Category: MCHANGANYIKO
Kivumbi Ligi Kuu Bara chaanza
Michuano ya Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu, inaanza kutimua vumbi kwenye viwanja saba tofauti, Jumamosi wiki hii. Agosti 31, mwaka huu, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lilitoa ratiba inayoonesha kuwa bingwa wa ligi hiyo atapatikana Mei 18, mwakani, wakati timu zote 14 zinazoshiriki zitakapokuwa uwanjani kuhitimisha mechi zake 26 kila moja.
Tanzania siku si nyingi haitatawalika
Kwa siku za karibuni nchi yetu imegubikwa na mambo mengi ya kuudhi. Taifa linapokuwa na polisi wezi, waporaji na wauaji, usitarajie kwamba litaendelea kuwa salama. Taifa linapokuwa na majaji kama wale tulioambiwa na Mheshimiwa Tundu Lissu, hakika tumekwisha.
Mwakyembe, Chambo wasitishwe
BAADHI ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamemwandikia barua Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu, Balozi Ombeni Sefue wakidai kuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe anafanya kazi kwa kutumia majungu anayopelekewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Omar Chambo.
Yah: Nguvu ya maji yaja, mtaua wangapi?
Wanangu, ka-jua ka leo kananikumbusha mandhari ya miaka mingi kabla Tanganyika haijaanza kuwa jangwa la kutisha na kushindwa kuhimili hali ya ukame na wakati mwingine kukosa maji ambayo yanasababisha hadi tukose umeme na kusababisha kuyumba kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na nchi.
Sumaye, Nagu katika vita kali
*Muhtasari wa kikao wachakachuliwa, jina la Dk. Nagu laingizwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, kinakabiliwa na mpasuko unaosababishwa na uhasama ulioibuka kati ya Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu, na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye.
Migogoro ya ardhi ni janga
Mhariri,
Kila siku migogoro ya ardhi inaripotiwa katika nchi yetu. Kuanzia Dar es Salaam hadi mikoani ni migogoro tu.
- Nyongeza ya mshahara yapokelewa kwa shangwe na wafanyakazi Njombe
- Baraza la Maaskofu Katoliki walaani tukio la uovu la kushambuliwa Padri Kitima
- Rais Samia apandisha viwango vya mishahara kwa asilimia 35.1
- Jiungeni na vifurushi vya NHIF- Rais Samia
- Rais Dk Samia akikabidhi vikombe kwa Manahodha wa Timu zilizofanya vizuri
Habari mpya
- Nyongeza ya mshahara yapokelewa kwa shangwe na wafanyakazi Njombe
- Baraza la Maaskofu Katoliki walaani tukio la uovu la kushambuliwa Padri Kitima
- Rais Samia apandisha viwango vya mishahara kwa asilimia 35.1
- Jiungeni na vifurushi vya NHIF- Rais Samia
- Rais Dk Samia akikabidhi vikombe kwa Manahodha wa Timu zilizofanya vizuri
- Rais Samia akitoa zawadi kwa wafanyakazi hodari katika sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi
- Matukio mbalimbali wakati Maadhimisho ya Siku wa Wafanyakazi Duniani
- Katibu Matinda aweka mkakati wa ujenzi wa nyumba ya Katibu Jumuiya ya Wazazi Tarime
- Serikali yaja na leseni mpya maalumu ya uzalishaji chumvi
- Waziri Bashe awapa mbinu ya kuondokana na umaskini wakulima wa korosho Kusini
- Mmoja akamatwa kwa kwa tuhuma za shambulio la Padri Kitima
- Mhandisi Luhemeja afungua mkutano wa AGN Zanzibar
- Sekta ya Madini imepiga hatua – Dk Kiruswa
- John Mrema atimuliwa uanachama CHADEMA
- Dk Biteko alitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli kuongeza kasi ya uendelezaji vitalu vya mafuta na gesi asilia