Category: MCHANGANYIKO
Rais Dk Mwinyi aongoza kisomo cha Hitma kumuombea hayati Sheikh Abeid Amani Karume Zanzibar
WAZIRI Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar…
Rais Dk Mwinyi ahimiza nidhamu, uadilifu na mshikamano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehimiza suala la nidhamu, maadili, uwajibikaji, uadilifu, mshikamano, umoja na upendo baina ya viongozi na watendaji wa Serikali katika kutenda haki kwa wananchi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika…
Wizara ya Ujenzi yaeleza mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Samia
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WIZARA ya Ujenzi imeandaa hafla ya kuelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita kwa kipindi cha miaka mitatu katika sekta ya Ujenzi huku ikijinasibu kukamilisha miradi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa…
Dk Mpango afuturisha nakundi maalum Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa futari kwa makundi maalum Zanzibar wakiwemo Wazee wa Kituo cha Wazee Sebleni na Watoto kutoka kituo cha kulea watoto yatima cha Mazizini Unguja Zanzibar. Akizungumza mara baada…
Serikali yataka wanafunzi wasio na michango kuendelea na masomo
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imewaelekeza walimu wa shule za msingi nchini kutowarudisha nyumbani wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuwalipia michango mbalimbali na badala yake waachwe kuendelea na masomo. Hayo yameelezwa leo Aprili 5,2024 Jijini…





