JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

LHRC yaainisha mambo yaliyochwa kwenye sheria ya uchaguzi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimebaini kuwepo kwa mambo saba waliyoyapendekeza yaondolewe kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Sheria ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi 2024…

GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya bilioni 4 .04/- kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfuko wa Mazingira Duniani(GEF) kupitia Programu ya Ruzuku Ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili…

Sarafu yakwama siku sita kooni kwa mtoto

Mtoto wa miaka miwili ametolewa sarafu iliyokuwa imekwama kooni kwa muda wa siku sita katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) jijini Dodoma. Akizungumza leo Aprili 3, 2024 Daktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo (ENT) wa BMH, Emmerenceana Mahulu, amesema…

NSSF yawatembelea wazee Kata ya Tumbi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wafanyakazi wanawake (staff) kutoka NSSF Mkoa wa Pwani wamewatembelea na kuwaona wazee wa kata ya Tumbi na kuwatakia heri ya mfungo wa Ramadhan. Pamoja na mambo mbalimbali wazee waliomba wawe wanakumbukwa mara kwa mara kwa…

Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani yaua 12 Sudan

Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani liliua watu 12 na kujeruhi wengine 30 Jumanne katika mji wa kaskazini mashariki mwa Sudan wa Atbara, ambapo kufikia sasa, kulikuwa kumeepuka vita vya kikatili, madaktari na mashahidi wameliambia shirika la habari la AFP….