Category: MCHANGANYIKO
Tanzania yaelezea uzoefu wake wa kidijiti Uswisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkutano wa kwanza wa Bodi ya Ubunifu wa Kidijitali ya Shirika la Mawasiliano duniani (ITU) umefanyika jijini Geneva, Uswisi huku Tanzania ikitumia fursa hiyo kuelezea uzoefu kwenye masuala ya ubunifu wa kidigiti. Katika Mkutano huo, Tanzania…
Maofisa Sheria, Mawakili watakiwa kutekeleza majukumu yao kwa usawa na haki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Sheria na Mawakili wa Serikali nchini kutekeleza majukumu kwa kuzingatia weledi, usawa na uadilifu ili kuhakikisha wananchi wanapata haki bila kujali hali zao…
‘Watu binafsi wamechimba visima na kuwatoza wananchi gharama kubwa’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watu binafsi wamebainika kuchimba visima vya maji ambavyo vinatoa huduma kwa gharama ambazo hazibebeki kwa wananchi,ambapo imeibua changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma hiyo katika Jiji la Dar es salaam. Ameyasema hayo leo…
Yanga Vs Mamelod, mzunguko ni bure
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Afisa habari wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe ametangaza kuwa Rais wa Yanga, Hersi Said pamoja na Kamati yake ya Utendaji wamekubaliana kuwa mechi yao dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini itakayochezwa…
LAAC washtukia upigaji fedha ujenzi wa hospitali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imetoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo waliosimamia mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo na kusema kuwa kamati…
Serikali yasisitiza umoja kwa Simba, Yanga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imewaonya baadhi ya Watanzania ambao wamekuwa na tabia ya kuzipokea na kuzishangilia timu ngeni zinapokuja kucheza na timu za Tanzania kuacha tabia hiyo kwani inarudisha nyuma juhudi…





