JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Warioba : Mwinyi aliingia madarakani hali iliwa mbaya

Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema changamoto zilizopo kwa sasa ni ndogo kulinganisha na kipindi Rais Ali Hassan Mwinyi aliposhika madaraka. Akizungumza wakati wa kuuaga mwili wa kiongozi huyo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Warioba amesema kipindi Mwinyi anaingia…

TAKUKURU kuziburuza mahakamani AMCOS daiwa

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) wilayani Chato mkoani Geita, imetishia kuviburuza mahakamani vyama vya msingi (Amcos) vinavyodaiwa kupora hela za Chama Kikuu cha ushirika cha “Chato Co-operative Union (CCU). Aidha imeagiza kupewa nyaraka…

Dk Mpango awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi

………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali…

TASWA yaungana na Watanzania kuomboleza kifo cha mzee Mwinyi

Na Mwandishi Wetu Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ally Hassan Mwinyi kilichotokea Februari 29,2024 jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu…

ATCL yaeleza hitilafu iliyosababisha ndege kurudi baada ya kupaa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi amesema injini moja ya ndege ya kampuni hiyo iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya,ilipata hitilafu ya kupata joto na kusababisha moshi…

Dk Mpango kuongoza waombolezaji Dar

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuongoza shughuli ya kuaga mwili wa Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, hayati Ali Hassan Mwinyi katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo. Akitoa ratiba ya mazishi ya kiongozi huyo, Msemaji wa…