Category: MCHANGANYIKO
Mazungumzo ya Rais Samia, Papa yana tija
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hadithi ya maendeleo ya taifa letu haiwezi kukwepa kuzungumzia ushirikiano wa taasisi za dini, hususan Kanisa Katoliki. Tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1964, Kanisa Katoliki limefanya mambo mengi katika kuchagiza maendeleo ya wananchi.Katika…
TMA yatoa mwelekeo mvua za masika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za Masika 2024 kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 22, 2024…
Pinda akagua maandalizi ujenzi wa daraja Mirumba Kavu Mlele
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amekagua daraja la muda pamoja na maandalizi ya ujenzi wa daraja la Mirumba lililopo kwenye jimbo lake katika…
Mtindo mpya wa kutalii unavyoipaisha Hifadhi ya Mikumi
Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Morogoro Urahisi wa kuwaona tembo, simba, twiga na chui katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi kimekuwa kichocheo kwa watalii wa nje kuitembelea wengi wakitokea Zanzibar, Jamhuri limeelezwa. Kamanda wa hifadhi hiyo, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Augustine…
Rais Samia akutana na Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe….





