Category: MCHANGANYIKO
Wenye chumvi pelekeni kiwanda cha Neel – Mahimbali
#Kiwanda kinauwezo wa kuzalisha tani 600 za chumvi kwa siku #Kimetoa ajira kwa zaidi ya wafanyakazi 500 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Wito umetolewa kwa wazalishaji wa madini ya chumvi nchini kupeleka malighafi hiyo katika Kiwanda cha Neelkanth Salt Limited…
Waziri Mkuu apokea mil.10 za maafa Katesh
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania , Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum (kulia) na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Dkt. Mhasa Ole Gabriel kwa ajili…
RC Chalamila apongeza Kampuni ya Derm Group
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa pongezi hizo katika sherehe za miaka 25 ya mafanikio ya Kampuni hiyo toka kuanzishwa kwake, hafla iliyofanyika Desemba 16,2023 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Ilala jijini Dar es Salaam. Akiongea…





