Category: MCHANGANYIKO
NIDA waanza ugawaji vitambulisho Mkoa wa Dar es Salaam
MamlakaĀ ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwajulisha wananchi katika Wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam kuwa ugawaji wa vitambulisho kwa umma unatarajia kuanza tarehe 12/12/2023 katika wilaya zote za mkoa huo. Hivyo, wananchi wote waliosajiliwa na kupatiwa Namba…
Dk Yonazi aipongeza Muhimbili kupeleka msaada wa msaikolojia tiba,dawa na vifaa Hanang
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kupeleka msaada wa dawa, vifaa tiba pamoja Msaikolojia Tiba kwa wananchi wa Mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang, Mkoani manyara…
Rais Samia asikia kilio cha wakazi Usimba
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kaliua RAIS wa Awamu ya Sita Dk Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha ukosefu wa shule ya msingi kwa wakazi wa Kijiji cha Magele kata ya Usimba Wilayani Kaliua kwa kuamua kuwapelekea zaidi ya sh mil…
Serikali yaboresha miundombinu ya elimu, afya Manispaa Kigoma/ Ujiji
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kigoma SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya sh bil 8 katika halmashauri ya manispaa Kigoma-Ujiji ili kuboreshwa miundombinu ya elimu na afya. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji…





