Category: MCHANGANYIKO
Bohari ya dawa nchini Tanzania yavutia Sierra Leone kujifunza namna ya utoaji huduma bora
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam Bohari ya Dawa Nchini Tanzania (MSD) imepokea ujumbe kutoka Bohari ya Dawa ya Sierra leone uliokuja kujifunza namna ya kuboresha mifumo ya utoaji wa huduma ya dawa nchini kwao . Akizungumza Aprili 29 ,2024…
Somalia kushirikiana kwa karibu na MSD
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema nchi yake imeamua kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa ya Tanzania katika ununuzi wa bidhaa za afya na kubadilishana uzoefu wa namna mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya unavyofanya kazi. Rais…
Majaliwa kushuhudia utiaji saini mikataba 20 ya miradi ya umwagiliaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utiaji saini mikataba 20 ya ukarabati na ujenzi wa miradi ya umwagiliaji baina ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji chini ya Wizara ya Kilimo na Wakandarasi…
DC Lulandala -tukisema tuorodheshe vitu vilivyofanywa na Rais Samia muda hautotosha
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Fakii Raphael Lulandala amesema katika kipindi Cha Serikali ya awamu ya sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya shughuli nyingi na kubwa na kuiletea Tanzania Mafanikio makubwa…
Dk Biteko asisitiza umuhimu wa elimu usalama mahali pa kazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mewataka waajiri kwa kushirikiana na wadau wanaendelea kuboresha mazingira ya kazi ili kuongeza usalama mahala pa kazi na kuwawezesha watumishi kufanya kazi katika mazingira…





