Category: MCHANGANYIKO
Pwani yajipanga mbio za mwenge licha ya changamoto mvua na mafuriko
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKOA wa Pwani umejipanga katika mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, licha ya changamoto ya mafuriko katika baadhi ya maeneo, ambapo Mwenge huo utapokewa April 29 ukitokea mkoani Morogoro. Mkuu wa mkoa wa Pwani, alhaj…
Mkuu wa Majeshi akutana ma Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa anayeshughulikia amani
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Operesheni za Ulinzi wa Amani ( UN Under Secretary General for Peace Operations) Bw. Jean Pierre Lacroix…
Prof. Ikingura aongoza kikao cha 18 bodi ya GST
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Prof. Justinian Ikingura amekiongoza Kikao cha kawaida cha 18 cha Bodi hiyo kwa ajili ya kupitia taarifa ya utekelezaji wa Taasisi hiyo kwa…
Dk Mwinyi : Tumevuka lengo la ilani katika barabara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 imeelekeza kujenga kilomita 200 za barabara hadi sasa Serikali imejenga kilomita 800 kwa kuvuka malengo ya ilani hiyo. Rais Dk.Mwinyi…
Wawekezaji wahamasishwa kuwekeza Tanga
Mkoa wa Tanga umebarikiwa kuwa na aina mbalimbali za madini Wafanya biashara waaswa kuzingatia Sheria za Madini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Wito umetolewa kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini…





