Category: MCHANGANYIKO
Tudumishe amani, umoja na mshikamano kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 – Rais Sami
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza umuhimu wa kuhakikisha Taifa linaendelea kudumu katika misingi imara iliyowekwa na waasisi wake, ambayo ni haki, amani, umoja na mshikamano wa kitaifa, akisisitiza kuwa mshikamano na ushirikiano…
Latra yang’ara tuzo Mashirika ya Umma
Dkt. Phillip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amekabidhi tuzo kwa Wizara ya Uchukuzi na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kwa kutambua kazi nzuri iliyofanywa katika huduma za udhibiti usafiri ardhini kwa kuzingatia vigezo…
Mashirika ya Umma yatambuliwa kwa ufanisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mashirika ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya Msajili wa Hazina katika hafla rasmi iliyofanyika kwenye Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi…
Mkutano wa saba wa kimataifa sekta ya madini kufanyika Novemba 2026
Yaelezwa sababu ni kupisha maandalizi ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Madini imetangaza kusogeza mbele Mkutano wa Saba (7) wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini uliokuwa ufanyike mwezi Novemba 2025 na badala…
Waziri Kombo akutana na wabunge marafiki wa Afrika wa Bunge la Japan
Na Mwandishi Maalum Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wabunge Marafiki wa Umoja wa Afrika katika Bunge la Japan, Mhe….
Rose Migiro arithi mikoba ya Dk Nchimbi
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa CCM akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye amekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM. Uteuzi huo umetangazwa leo tarehe 23 Agosti 2025.





