Category: MCHANGANYIKO
Maono ya Baba wa Taifa kuhusu wanawake
DAR ES SALAAM Na Anna Julia Chiduo – Mwansasu Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia tena kuandika kwenye Gazeti letu la JAMHURI katika kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kilichotokea miaka 22 iliyopita, Oktoba…
Vigogo wanavyotafuna nchi
DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Vigogo 456 wakiwamo marais wastaafu na waliopo madarakani, mawaziri wakuu wa zamani, mabalozi, wauzaji wa dawa za kulevya, mabilionea, wasanii na wana michezo maarufu, wafalme, wanasiasa na viongozi waandamizi serikalini katika nchi 91 wamebainika…
Tumuenzi Mwalimu kwa kusapoti kampeni ya Samia ya maendeleo
Wakati taifa likiwa katika wiki ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Rais Samia Suluhu Hassan amezindua kampeni ya maendeleo na mampambano dhidi ya UVIKO-19. Ni kampeni ya aina yake itakayodumu…
Mkurugenzi MOI amfurahisha Majaliwa
LINDI Na Aziza Nangwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Respicious Boniface, kwa kuwasogezea huduma za kibingwa wakazi wa mikoa ya kusini. Akizungumza katika ziara yake mkoani Lindi alikotembelea Hospitali ya St….
Barua ya wazi kwa Rais kuhusu wamachinga
DAR ES SALAAM Na Sabatho Nyamsenda Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u-buheri wa afya. Karibu tena nyumbani baada ya kutoka Marekani ulikohudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA). Natumaini umefurahi kurejea nyumbani. Shaaban Robert alighani akisema:…
Corona yaua 700 nchini
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Serikali imeanza kutoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona unaofahamika kwa jina la UVIKO-19, zikionyesha kuwa watu 719 wamekwisha kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo…