JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mbaroni kwa kusambaza taarifa za uchochezi kuhusu viongozi wa Serikali

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata, linawashikilia na kuwahoji kwa kina watuhumiwa watano (5) kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali ya kimtandao. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Machi…

Bilioni 79 kujenga vituo vya Polisi Kata nchi nzima

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Serikali imedhamiria kutumia kiasi cha Tshs.Bilioni 79 kujenga Vituo vya Polisi Kata 698 katika maeneo mbalimbali nchini lengo ikiwa kutataua changamoto za kiusalama kwa jamii ambapo kila kituo kinatarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi milioni 115….

Wakazi Lulanzi walia na kero ya maji, umeme,hospitali ya wilaya yakabiliwa na changamoto hiyo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WAKAZI wa Lulanzi pamoja na Hospital ya Wilaya ya Lulanzi, Kata ya Pichandege ,Kibaha , mkoani Pwani wanakabiliwa na kero kubwa ya ukosefu wa maji na kukosa huduma ya nishati ya umeme wa uhakika ….