Category: MCHANGANYIKO
Rais Samia aahidi kununua boti za doria ziwa Victoria
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kununua boti mbili za doria ndani ya Ziwa Victoria. Pia ameahidi wananchi kupitisha uzio pembezoni mwa ziwa ili kuzuia mamba ambao wanahatarisha usalama wa watumiaji. Rais Samia ametoa kauli…
Watanzania tusionje sumu, asante JWTZ
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita zilijitokeza picha mbili za mjongeo katika mtandao. Picha hizi, mtu mmoja amejitambulisha kama Kapteni Tesha, mwingine analalamika, ila zaidi ya kuonekana ameshika bunduki na amevaa sare za jeshi, hajitambulishi. Wote hawa…
NMB yadhamini Wiki ya Vijana Kitaifa, sherehe za kuzima mwenge, yakabidhi milioni 30/-
Na Mwandishi Wetu, JamhurMedia, Mbeya BENKI ya NMB, imeikabidhi ofisi ya Mkoa wa Mbeya hundi ya Sh. Milioni 30 kwa ajili ya udhamini wa maadhimisho ya wiki ya vijana kitaifa na sherehe za kitaifa za kuzima Mwenge wa Uhuru zitakazofanyika…
Nishati yawasilisha mipango ya kimkakati kutekeleza Dira ya Taifa 2050
📌 Ni katika kikao kazi na Tume ya Taifa ya Mipango. 📌Mradi wa usafirishaji umeme Chalinze–Dodoma ni miongoni mwa miradi ya kipaumbele kufanikisha Dira 2050, 📌Wizara ya Nishati na Tume ya Mipango kushirikiana kwa karibu kusimamia miradi ya Nishati kufanikisha…
Doyo : NLD itaondoa kero ya foleni Dar, kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, ameendelea na kampeni zake kwa kasi jijini Dar es Salaam kupitia mtindo wa kipekee wa “Mobile Kampeni”, mfumo unaomuwezesha kufanya mikutano mingi kwa siku moja katika maeneo mbalimbali. Doyo amefanya mikutano…





