JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wastaafu TRL wamlilia Rais Samia

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Waliokuwa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuwasaidia ili uongozi uwape haki zao. Akizungumza kwa niaba ya wenzake zaidi ya 1,000, mmoja wa wastaafu hao,…

CAG akagua fedha za wahujumu uchumi 

*Ni za wale waliokiri makosa, wakalipa faini kwa DPP, sasa yadaiwa fedha hazikwenda serikalini *Ofisa mmoja adaiwa kuchukua kodi ya nyumba iliyotolewa serikalini kwa ‘plea bargaining’ *Wadau waomba fedha za kikosi kazi nazo zikaguliwe DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu …

Marekani yatumia Bunge kumwengua Waziri Mkuu Pakistan 

Na Nizar K Visram Imran Khan, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan, ameondolewa madarakani baada ya Bunge la nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.  Kura hiyo ilipigwa Aprili 9, mwaka huu baada ya mvutano mkali baina ya Chama…

DARAJA LA WAMI: Alama nyingine ya kujivunia Tanzania

CHALINZE Na Mwandishi Wetu Miundombinu inatajwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kuchochea maendeleo ya uchumi wa taifa, ikifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Barabara na madaraja ndiyo hasa vitu vinavyoyagusa moja kwa moja maisha ya mwananchi wa…

Compaore afungwa kwa mauaji ya Kapteni Sankara

Na Nizar K Visram Jumanne Aprili 6, mwaka huu, Blaise Compaoré, Rais wa zamani wa Burkina Faso, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya Thomas Sankara, rais wa nchi hiyo aliyeuawa Oktoba 1987. Hukumu ilitolewa na mahakama ya kijeshi…

MIAKA 100 YA MWALIMU… Tanzania ilikuwa Makka ya wapigania uhuru

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Ifuatayo ni mada iliyotolewa na Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Aboubakary Liongo, katika maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa lililofanyika Aprili 9, 2022 Chuo cha Uongozi Kibaha. Ndugu zangu, wakati tunaadhimisha…