Category: MCHANGANYIKO
Bandari ya Dar es Salaam yaweka historia mpya
*Meli kubwa yatia nanga ikiwa imebeba magari 4,041 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Maalumu Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi yake baada ya wiki iliyopita kupokea meli kubwa zaidi kuwahi kufika, pia ikiwa ni ya kwanza yenye mzigo mkubwa…
Binti aboresha kitimwendo kuwasaidia walemavu
*Sasa kitawawezesha kufanya kazi za mikono, mazoezi kwa urahisi *Agizo la Serikali kwa TIRDO, SIDO kushirikiana naye lapuuzwa Dar es Salaam Na Alex Kazenga Binti wa Kitanzania, Joan Mohamed (24), ameibuka na ubunifu wa aina yake utakaokifanya kitimwendo (wheelchair) kuwa…
Sensa kufanyika kidijitali
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua nembo na tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022. Uzinduzi huo ulifanyika Aprili 8, mwaka huu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar ambapo Rais alitangaza kuwa…
Vita ya Urusi, uroho wa faida
Na Deodatus Balile Kwa muda wa wiki tatu hivi, sijapata kuandika katika safu hii. Ni kutokana na kubanwa na majukumu mengi, ambayo bila kujitoa pengine mengi yangekwama. Nimepokea simu na ujumbe kutoka kwa wasomaji wangu kadhaa wakihoji kulikoni siandiki? Naomba…
BEI YA MAFUTA… EWURA, wahariri wataka mbadala
DAR ES SALAAM Na Joe Beda Wakati kupanda kwa bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kukielezwa kuwa hakuepukiki, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imekubaliana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwamba kuna haja…
Bandari ya Karema kuwa kitovu cha usafirishaji Ziwa Tanganyika
KATAVI Na Mwandishi Wetu Nchi inazidi kufunguka. Miradi mbalimbali imeanzishwa, inaanzishwa na itaanzishwa huku utekelezaji wa ujenzi wake ukiendelea kwa nia moja tu ya kuhakikisha uchumi wa nchi unazidi kuimarika. Miongoni mwa ujenzi wa miradi inayoendelea kutekelezwa ni ule wa…





