JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Majaliwa : FAO yaahidi kuiunga mkono Tanzania

*Ni katika mikakati yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukuza na kuendeleza sekta ya…

Tanzania kuwasilisha ombi CAF matumizi ya matangazo ya Kiswahili

Na Shamimu Nyaki, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kuweka matangazo kwa lugha ya Kiswahili…

Dar kuwa na siku maalumu ya kuthamini kazi ya mwalimu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Okyoba 5, 2023 ametangaza rasmi kuwepo kwa siku maalum ya kuthÄ«amini mchango wa kazi ya Mwalimu katika Mkoa huo. RC Chalamila amesema hayo wakati akihutubia mamia…

Msigwa akabidhi kijiti kwa Matinyi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Aliyekuwa Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo), Gerson Msigwa amekabidhi rasmi kijiti kwa mrithi wake Mobhare Matinyi huku akiahidi kuteleleza kwa vitendo majukumu yake ya sasa na kumshukuru Rais Samia Suluhu…

Hospitali ya Rufaa Simiyu kuanza huduma za kibingwa kwa wajawazito na watoto

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Simiyu imeanza kupokea vifaa tiba mbalimbali kutoka Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya ziwa, kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibingwa kwa akina Mama wajawazito na watoto. Hatua hiyo inatajwa…