JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Udini wapasua Bunge

*Tangazo la wabunge Waislamu kukutana lavuruga *Wakristo waandaa muswada wa Amri 10 za Mungu NA MWANDISHI WETU Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekumbwa na mgawanyiko wa chini kwa chini wa udini.   Hali hiyo ilitojitokeza Alhamisi iliyopita ambako…

CCM, CUF wavutana Zanzibar

Vyama vya CCM na CUF vimeibua mjadala mpya wa kisiasa baada ya Mwakilishi wa Jimbo la Ole (CUF), Hamad Masoud Hamad, kujiandaa kuwasilisha hoja binafsi yenye lengo la kuhoji Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)  kushindwa kumaliza tatizo la upatikanaji…

Barua ndefu kwa Zitto Zuberi Kabwe

Ustaarabu wetu adhimu wa Kiafrika turiourithi kutoka kwa wahenga unatutaka vijana kuwa na heshima na kufanya maamkizi kwa wakubwa – 'shikamoo komredi Zitto Kabwe'. Nakuandikia barua hii nikifahamu pasi shaka yoyote kuwa kamwe hutaishangaa.   Kama ujuavyo, uandishi wa barua…

Mwasisi wa TANU: Rais ni Dk. Slaa

Mwasisi wa Chama cha Tanganyika African National Union (TANU), Lameck Bogohe (93), amesema mtu pekee anayestahili kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod…

Maaskofu wamtega Kikwete

Tamko lililotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba Mpya, Mahakama ya Kadhi na Hali ya Usalama nchini, limeitikisa Serikali. Taarifa kutoka serikalini zinasema kwamba tamko lililotolewa na maaskofu hao linavunja moyo wa harakati za Rais Jakaya Kikwete anayetaka Tume…

Zahoro Matelephone arejea Dar

Mfanyabiashara anayedaiwa kujihusisha na usafirishaji na uuzaji dawa za kulevya nchini Zahoro Khamis Zahoro (Zahoro Matelephone) amerejea nchini kimya kimya baada ya kudaiwa kukamatwa katika nchi za Falme za Kiarabu. Matelephone ni mfanyabiashara anayemiliki maduka kadhaa ya simu za mkononi…