Category: Siasa
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA APOKELEWA KWA KISHINDO MWANZA
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James kulia akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Ndg:Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ccm Mkoa wa Mwanza. Mjumbe wa…
MWANAHABARI JUSTINE LIMONGA AAGWA DAR
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, ameongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanahabari, Justine Limonga iliyofanyika Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam leo mchana. Akizungumza katika ibada hiyo, Polepole alisema CCM na tasnia…
BABU SEYA, PAPII KOCHA WATINGA IKULU
Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia…
HUMPHREY POLEPOLE AMTADHARISHA LEMA JIMBO LA ARUSHA 2020
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa kumwambia kipindi hiki ni cha mwisho kuongoza Jimbo hilo la Arusha Mjini. Hayo yamekuja mara baada ya Mbunge huyo kupitia…
KITAMBULISHO CHA KUPIGA KURA BATILI KAMA HAUTAKUWA NA KITAMBULISHO CHA URAIA
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt Nchemba amesema, uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa utakapokamilika, vitambulisho hivyo vitatumika kupigia kura. Amesisitiza, mwananchi akiwa na kitambulisho cha kupigia kura, kitakuwa batili kama hatakuwa na kitambulisho cha uraia. Hivyo wamewataka wanachi wa maeneo…
MAMBOSASA: MWENYE TAARIFA YA MASUDI KIPANYA KUKAMATWA ATUAMBIE KITUO GANI KAKAMATWA
Majira ya jioni leo Januari Mosi 2018 zimesambaa taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba, mchora katuni maarufu Tanzania, Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufanya uchochezi. Taarifa hizo zinadai kuwa, Masoud Kipanya ambaye pia ni mtangazaji…





