JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Viongozi CCM tuhimize wananchi kupiga kura – Dk Biteko

Mgombea Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amewahimiza viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi Vitongoji, Vijiji na Kata kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu. Dkt. Biteko amesema hayo Septemba 10,…

Dk Nchimbi atumia helkopta kusaka kura Kagera

Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, leo Septemba 7, 2025, ameruka kwa helikopta akizisaka kura za kishindo za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Balozi…

Nchimbi ndani ya Katoro, Geita awanadi wagombea

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia wananchi wa kata ya Katoro , leo Jumamosi Septemba 6,2025 Wilaya ya Geita, Mkoani Geita . Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni mkoani…