Category: Siasa
BAJETI YA UPINZANI YAZUIWA BUNGENI, WENYEWE WASUSA
Hotuba ya Bajeti mbadala ya Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni imekataliwa bungeni kutokana na kuwasilishwa nje ya utaratibu. Wabunge wa upinzani (isipokuwa wanaomuunga mkono Prof Lipumba ) wameondoka kwenye ukumbi wa Bunge.
CAG Aelezea Wapi trilioni 1.5 Huwenda Zimetumika
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Assad amesema kwamba anaamini kwamba fedha shilingi trilioni 1.5 ambazo hazina maelezo namna zilivyotumika zitakuwa zilitumika katika maeneo mengine ya matumizi ya serikali. Prof. Assad amesema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na…
MSIINGIZE SIASA SUALA LA MABONDENI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa wajiepushe na tabia ya kuingiza siasa katika suala la kuwaondoa wananchi waishio mabondeniĀ kwa kuwa jambo hilo linafanywa kwa maslahi ya wananchi wenyewe. Amesema wananchi wengi wamekuwa wakipoteza maisha na mali zao kila…
UKAGUZI BANDARINI HAULENGI KUWABAGUA WAZANZIBARI – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukaguzi unaofanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa wasafiri wanaokwenda Zanzibar, hauna lengo la kuwabagua bali ni kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi. āHatulengi kuzuia biashara za wafanyabiashara ndogondogo, bali tunaimarisha ukaguzi ili…