Category: Siasa
Mgombea ubunge Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya AAFP aipongeza INEC
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Wakulima (AAFP), Mark Isdory Mhemela ameipongeza Tume Huru ya Uchaguzi(INEC) kwa kusimamia vizuri zoezi la uteuzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Urais,Ubunge na Udiwani. Akizungumza kwa njia…
Othman : Viongozi wa dini wana haki haki ya kuangalia haki, amani na utulivu
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ni wajibu kwa viongozi wa dini kuangalia haki, utulivu na amani ya kweli, wanayoihitaji Wananchi wote, kwaajili ya Maendeleo ya Taifa zima. Amesema, viongozi hao ndio wenye dhima ya kuhakikisha…
Naombeni ridhaa yenu Jimbo la Mbulu Vijijini nilete mabadiliko -Mgombea CHAUMMA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Mkoani Manyara, kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mwalimu Stephen Siasi, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa nafasi ya Ubunge katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu. Mwalimu Siasi amekabidhi…
Mgombea Jimbo la Mafinga kwa tiketi ya CHAUMMA aahidi kuongeza ajira
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mji kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ngwada Mubarak Twaha, ameamua kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho ili kupambana na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira, hususan kwa vijana wenye shahada za vyuo vikuu ambao…





