Category: Siasa
AGPAHI YAKABIDHI MASHINE ZA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI,KOMPYUTA MKOA WA MWANZA
Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) limekabidhi mashine tano za kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake ‘cryotherapy machines’ mkoa wa Mwanza. Msaada huo umetolewa Jumanne Machi 27,2018 katika ukumbi wa mikutano wa Gold Crest…
Nitawashangaa Wazungu watakaomsifu Magufuli
Kuna wakati Watanzania kadhaa walikuwa wakinung’unikia vyombo vya habari vya kimataifa kwa kuona Tanzania haitajwitajwi kwenye vyombo hivyo. Wapo walioona kutotajwa huko ni jambo baya, lakini wapo walioamini hiyo ni dalili njema. Walioamini hiyo ni dalili njema, waliamini hivyo kwa…
Nyamo-Hanga ang’olewa REA
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, ameondolewa kwenye nafasi hiyo, JAMHURI limethibitishiwa. Desemba 17, 2016 Bodi ya Wakurugenzi ya REA ilimteua Mhandisi Nyamo-Hanga, kushika wadhifa huo. Pamoja naye, kumekuwapo…
WAZIRI MKUU AWATAKA VIJANA WAFANYE KAZI KWA BIDII NA MAARIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wafanye kazi kwa bidii na maarifa kwa sababu kazi ndiyo msingi wa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla. Pia amewasihi wananchi wanaoishi katika maeneo ya mipakani wahakikishe suala la kulinda mipaka hiyo linapewa…
AZANIA BANK YAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA DAR ES SALAAM
Maofisa wa Benki ya Azania wakiwa wamepozi kwa picha kabla ya kuanza kwa mkutano uliondaliwa na TCCIA kwa ajili ya wafanyabiashara kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji. Mkutano huo ulidhaminiwa na benki hiyo. Washiriki wa mkutano wakijadiliana jambo. Wadu wa sekta…
MPANGO WA PAMOJA WA TANZANIA NA CHINA KATIKA KUONGEZA UZALISHAJI WA TIJA WA ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China Profesa Sun Qixin, akimuonyesha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, moja ya picha katika Kituo cha Mafunzo cha kupunguza Umasikini kijijini, katika Kijiji cha Mtego wa Simba, Mikese mkoani Morogoro, wakati…