Category: Siasa
Ndonge Mguu ndani kinyang’angiro ubunge Jimbo la Mbagala
Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama Cha Wakulima(AAFP) Ndonge Said Ndonge amesema kwamba endapo Wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao,atashughulikia kero zote za Mbagala ikiwemo mradi wa fremu anaodai kuwa umejengwa kwenye hifadhi…
Agosti 4 kujulikana ‘mbivu na mbichi’ CCM
Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi, udiwani wa kata/ wadi na viti maalumu kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa ratiba hiyo, Agosti…
ACT-Wazalendo : Tunachunguza uhalali wasimamizi wa uchaguzi waliotangazwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Chama ACT -Wazalendo kimesema kuwa kimepokea taarifa ya uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi katika ngazi ya majimbo na kimeanza uchunguzi wa kujiridhisha kama wasimamizi hao si makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa…
CUF: Hatutosusia Uchaguzi Mkuu, badala yake tutashiriki kikamilifu
Na Mwandishi Wetu, Mtwara Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitasusia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 badala yake kitashiriki kikamilifu zoezi hilo. Hayo yalibainishwa wakati wa mkutano wa hadhara wa kitaifa wa chama hicho Jimbo la Mtwara Mjini uliyofanyika Manispaa…
Bashungwa: Nimerudi nyumbani tena kuomba dhamira yenu ya kuleta maendeleo Karagwe
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Innocent Lugha Bashungwa, ametangaza rasmi nia ya kuendelea kulihudumia Taifa kupitia nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Karagwe kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kugombea kupitia CCM. Tukio hilo…
Aliyeongoza kura maoni Vunjo 2020, kumkabili tena Dk Kimei
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMesia, Moshi Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola (35), ambaye aliongoza katika kura za maoni katika kinyang’anyiro cha ubunge mwaka 2020, amechukua tena fomu ya kuwania tena nafasi hiyo ya uwakilishi, akiwa miongoni mwa waliojitokeza…