Category: Siasa
MWENYEZI MUNGU ANAZIDI KUTENDA MIUJIZA KWA TUNDU LISSU
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika…
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI SHARJAH EAST FISHING PROSESSING
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na…
DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UMOJA WA NCHI ZA KIFALME ZA KIARABU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizunguma na Mtukufu Dk. Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi alipofika katika makaazi yake kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za…
WAZIRI WA NISHATI ARIDHISHWA NA KAZI YA UJENZI WA NJIA YA UMEME KUELEKEA STIEGLERS GORGE
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ( wa Nne kushoto) akikagua maeneo ambayo miundombinu ya usafirishaji umeme inajengwa kuelekea katika eneo la Mto Rufiji utakapotekelezwa mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 2100. Wa Tatu kulia ni Mkuu wa wilaya ya…
ELIMU YA KULIPA KODI YAENDELEA KUTOLEWA KWA WATANZANIA
Afisa Muelimishaji Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Rose Mahendeka akiwaelimisha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kuhusu Kodi na Mabadiliko ya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2017/18 katika ukumbi wa mikutano wa mamlaka hiyo…
Wakulima, Wasambazaji Mbolea Rukwa Waridhishwa na Upatikanaji wa Mbolea
Wafanyabiashara wakubwa wa mbolea Mkoani Rukwa pamoja na wakulima wameridhishwa na upatikanaji wa mbolea na kusifu juhudi za serikali baada ya kupaza sauti zao na kusikika na Rais Dk. John Pombe Magufuli na jambo hilo kufanyiwa kazi ndani ya muda…