Category: Siasa
MAKONDA APONGEZA KASI YA MATENGENEZO MAGARI YA POLISI,MAGEREZA,JWTZ
Baadhi ya magari ya vyombo vya ulinzi na usalama ambayo yanaendelea kutengenezwa ambayo yalipelekwa yakiwa yameharibika kabisa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza leo wilayani Mkuranga mkoani Pwani wakati alipoenda kukagua magari 11 ya vyombo vya ulinzi na…
WAZIRI WA AFYA AKIRI CHANGAMOTO YA UHABA WA MADAKTARI
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akizungumza na wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya Amana kwa ajili ya kupatiwa matibabu wakati alipofanya ziara ya kukagua hospitali hizo mara baada ya Rais Dk John Pombe…
ZITTO KABWE: POLISI WALINIZUIA KUFANYA MKUTANO JIMBONI KWANGU
JESHI la Polisi limemzuia Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kufanya mkutano katika Uwanja wa Mwanga Community Centre uliokuwa ufanyike jana. Kwa mujibu wa Barua iliyoandikwa kwa Zitto Kabwe kutoka kwa Mkuu wa Polisi Kigoma Mjini…
MBUNGE SUGU ANYIMWA DHAMANA ARUDISHWA RUMANDE
Mbunge Joseph Mbilinyi “Sugu”. MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya baada ya kukosa dhamana katika kesi ya uchochezi inayomkabili. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel…
TIMU YA USIMAMIZI WA HUDUMA YA AFYA WILAYA YA LINDI YAAGIZWA KUSIMAMIA UKARABATI WA VITUO VYA AFYA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (mbele), akishuka ngazi wakati wa ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa unaojengwa na Wakala wa Majengo (TBA), mkoa wa Ruvuma na kuridhishwa na kasi ya…
Bei elekezi mpya kuwafaidisha wauza mbolea Rukwa
Wauzaji wadogo wa mbole Mkoani Rukwa wamesifu juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuhakikisha wakulima wanapatiwa mbolea kwa wakati na kwa bei elekezi inayoendana na maeneo husika ambayo mbolea hiyo inasambazwa kuanzia ngazi ya Wilaya, Kata hadi Vitongoji….