JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Lissu Apanda Ndege, Apelekwa Ubelgiji

Ndugu, jamaa, marafiki na wabunge wakimuaga Lissu hospitalini hapo kabla ya kuepelekwa Ubelgiji. MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi…

Rais Magufuli Ateua Naibu Waziri wa Madini Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amemteua Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini.

TUNDU LISSU: JAMII YA KIMATAIFA INGILIENI KATI JAMAANI

Mbunge wa Singida Mashariki wa Chadema, Tundu Lissu amesema dalili zinaonesha watu waliomshambulia kwa risasi mjini Dodoma mwaka jana walikuwa na uhusiano na serikali. Lissu, akihutubia wanahabari kwa mara ya kwanza tangu kulazwa hospitalini, ameonekana kuilaumu serikali ya Rais John…

AFRICAN SPORTS YAPATA NEEMA KUTOKA KWA WAZIRI UMMY MWALIMU

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katikati akimkabidhi vifaa vya michezo ambavyo ni viatu Mwenyekiti wa timu ya African Sports Awadhi Salehe Pamba ikiwa ni kuipa motisha timu hiyo kufanya vizuri kwenye michuano wanayoshiriki ili waweze…

RC WANGABO AAGIZA KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA ZISIMAMIE USAMBAZAJI WA PEMBEJEO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akizungumza na wadau wa kilimo Mkoa wa Rukwa (hawapo kwenye picha) katika Kikao kilichowajumuisha Wataalamu wa kilimo ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya, Kamati za ulinzi na usalama ya Mkoa…

DIWANI WA CHADEMA ALIYEJIUNGA NA CCM AWAPA USHAURI CHADEMA

Diwani wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Zakayo Chacha Wangwe aliandika barua na kueleza sababu ya kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia jana Januari 5, 2018 kutoa ushauri kwa wanachama wengine ambao bado wapo upinzani.