Airtel Yaleta Bando Mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ MPYA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari. Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Isack Nchunda akisikiliza kwa makini maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari (hawapo pichani). Viongozi hao wakiwa wameshikilia bango la kifurushi cha 1GB ya Yatosha Intaneti kilichozinduliwa. Dar es salaam,  Desemba 12, 2017: Airtel Tanzania…

Read More

NUNUA LUKU KWA NJIA ULIYOZOEA BAADA YA MAREKEBISHO SASA MAMBO POA

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Tunawataarifu Wateja wetu kuwa, hivi sasa mifumo ya LUKU inapatikana katika njia zote za manunuzi. Wateja mnaweza kufanya manunuzi kwa kutumia njia zote. Asanteni kwa ushirikiano wenu. Tovuti: www.tanesco.co.tz Mitandao ya Kijamii www.facebook/tanescoyetultd twitter.com/tanescoyetu Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu Desemba 10, 2017

Read More

AGPAHI yamwaga misaada Shinyanga

Shirika la AGPAHI, linalojihusisha na mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI, limezindua majengo mawili kwa ajili ya Huduma za Tiba na Matunzo kwa watu wanaoishi na vimelea hivyo.   Shirika hilo linalofadhiliwa na watu wa Marekani kupitia Shirika la Kimarekani (CDC) nchini Tanzania, limezindua majengo hayo kwenye Zahanati ya Kagongwa wilayani…

Read More