Category: Kitaifa
Abdullah awasihi wananchi Pemba ‘wasichokozeke’
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Pemba Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah na mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani amesema kipindi hiki wananchi wanapaswa kuendelea kudumisha amani ili wampe nafasi mgombea urais wa…
Aboud atuma salamu kiaina
Na Mwandishi wetu, Jamhuri Media, Pemba Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mratibu wa Kampeni Kanda ya Pemba, Mohamed Aboud amesema Watanzania wa pande zote mbili sasa wanaishi kwa amani na mshikamno mkubwa. Amesema hayo Septemba 20,2025 alipopewa nafasi…
Dk Biteko asema kupiga kura ni uwekezaji wa maisha
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amewaasa wananchi kushiriki katika zoezi la upigaji kura Oktoba 29 ili kuchagua viongozi watakaoweza kutimiza matarajio yao ya kuwaletea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo Septemba…
Mgombea urais DP aahidi neema kwa wastaafu
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora CHAMA Cha Democratic Party (DP) kimezindua mikutano yake ya kampeni za Urais, Ubunge na udiwani katika uwanja wa stendi ya zamani Mjini Tabora na kuahidi kuboresha mafao ya wastaafu nchini. Akizungumza katika mkutano huo uliofanyika…
Wasira : Endeleeni kuiamini CCM na kuipa nafasi ya kuongoza na kuleta maendeleo
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Chama kinafanya kazi kubwa ya kuleta mabadiliko ili kuwaletea maendeleo wananchi. Aidha, amesisitiza wananchi wandelee kukiamini na kukipa nafasi Chama kiendelee kudumisha amani kwa kuwa maendeleo hayatapatikana iwapo…
Sadifa asema Samia, Mwinyi wanastahili kuendelea kuongoza
Na Kulwa Karedia , Jamhuri Media,Unguja Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na mgombea ubunge Jimbo la Donge, Sadifa Juma Khamis, amesema wagombea urais wa Chama Cha Mapinduzi,(CCM) Samia Suluhu Hassan na Dk Hussein Mwinyi…





