JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mbeto :Hakuna cha kuzuia ushindi wa CCM Zanzibar 2025-2030

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimesema kitashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba Mwaka huu kwa mujibu wa sheria na taratibu za kidemokrasia kwani hakuna sababu ya CCM kushindwa Visiwani Zanzibar . Katibu wa Kamati Maalum ya Nec Zanzibar, Idara…

Mgombea kiti cha urais Za’bar achukua fomu

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi (kulia) amemkabidhi fomu ya uteuzi mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman leo Agosti 31, 2025. Othman anayegombea kupitia Chama cha Act-Wazalendo, amekabidhiwa fomu katika…

CHAUMMA, CUF kuzindua kampeni za urais leo

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinatarajia kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Salum Mwalimu, pamoja na mgombea mwenza wake Devotha Minja, jijini Dar es Salaam leo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA,…

CUF yaahidi kutoa matibabu na elimu bure 

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Chama cha Wananchi CUF, kimesema endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi kitahakisha kinatoa huduma ya matibabu bure kwa wananchi wote katika hospitali za Serikali. Pamoja na kutoa elimu bure kuanzia ngazi ya awali mpaka chuo…

Balozi Nchimbi aanza kampeni Mara

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo,Butiama na kuzuru kaburi la mwasisi huyo wa Tanzania na CCM. Dkt.Nchimbi ameingia mkoani…

Pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea ubunge ACT-Wazalendo latupwa

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kupitia Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Meatu imetupilia mbali pingamizi dhidi ya mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo, Bi. Rosemary Kasimbi Kirigini. Pingamizi hilo liliwasilishwa na mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi CCM,…