Category: Kitaifa
Bado Tunakukumbuka Albert Mangweir
Leo wanamuziki na wadau wa burudani nchini Tanzania wanakumbuka miaka mitano ya kifo cha msanii wa miondoko ya kufokafoka Albert Mangwair. Mangwair ambaye alikuwa mmoja ya wasanii nguli nchini alizaliwa Novemba 16 1982 mkoani Mbeya na kufariki Mei 28 2013…
DK. SALEH ALI SHEIKH: TANZANIA NI MFANO WA KUIGWA
WAZIRI wa Mambo ya Dini wa Saudi Arabia, Dk. Saleh Ali Sheikh amesema Tanzania ni mfano wa kuigwa na nchi nyingine kutokana na amani iliyopo. Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumapili, Mei 27, 2018) wakati akitoa nasaha kwa wageni…
Naibu Waziri wa Afya Dk. Ndugulile mgeni rasmi Siku ya Hedhi Duniani Leo
Siku ya Hedhi Duniani kuazimishwa le tarehe 28/Mei/2018, huku mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile. Tukio hilo linatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Bwalo la Maafisa wa Jeshi la…
MASHEIKH 11 WA SHIA ITHNA SHERIA WA KANDA YA ZIWA WASAIDIWA VYOMBO VYA USAFIRI
Masheikh 11 wa madhahebu ya Shia Ithna Sheria katika mikoa ya Mwanza, Simiyu, Kagera,Tabora, Kigoma, Dodoma na Katavi wamepewa vitendea kazi vyenye thamani ya shilingi milioni 80. Vitendea kazi hivyo pikipiki aina ya Freedom vilikabidhiwa jana kwa mashaeikh hao…
KAMPUNI YA QNET YATOA MSAADA WA VYAKULA KITUO CHA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA NEW LIFE ORPHANS.
Meneja wa QNET, Muqtadir Suwani akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa QNET, Muqtadir Suwani(kulia) akipeana mkono na Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu cha New Life Orphans Home, Hamadi Kondo mara baada ya kutoa msaada wenye…
VIJANA WASHAURIWA KUWA WASHIRIKI WA MAENDELEO NA SIO WANAOYASUBIRI
MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Alvaro Rodriguez amewataka vijana wa Tanzania kuwa washiriki katika mipango ya maendeleo na sio kusubiri kufanyiwa. Aidha ameshauri vijana kuacha kuilalamikia serikali na jumuiya ya kimataifa kuhusu ajira na badala…





