Category: Kitaifa
HAJI MANAR AWAKAAA SIMBA NA YANGA KUITWA MAHASIMU
Ofisa Habari wa Simba SC, Haji Manara, amewakataza Wanahabari kutumia neno MAHASIMU badala ya WATANI pindi wanapotangaza na kuziandika klabu hizo. Manara ameeleza kuwa Simba na Yanga si mahasimu bali ni watani wa jadi, tofauti na baadhi ya vyombo vya…
SIMBA SC YAIKIMBIA YANGA MOROGORO, YAREJEA DAR
Timu ya Simba wamerejea jijini Dar es Salaam leo wakitokea Morogoro. Simba wamerejea jijini Dar es Salaam wakitokea Morogoro, hali ambayo imewashangaza wengi. Kawaida huondoka siku moja kabla ya mechi, lakini Simba wameamua kurejea Dar es Salaam siku mbili kabla….
Vigezo vilivyozingatiwa kuifanya ‘Dodoma’ kuwa jiji
Leo Alhamisi, Aprili 26, 2018 katika maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tumeshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akitangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dododma kuwa Jiji….
Siku yakimfika DPP hatafuta kesi kirahisi
Jalada la kesi ya mauji ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini, limefungwa. Uamuzi huu umetolewa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga. Akwilina aliuawa kwa risasi Februari 16, mwaka huu wakati polisi walipotumia nguvu kuyadhibiti…
Rais Dkt Magufuli aipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018. Rais Dkt Magufuli ameyasema hayo leo, katika shotuba yake aliyoitoa wakati wa maadhimisho ya…
MALARIA YAPUNGUA MPAKA ASILIMIA 7. 3 NCHINI.
Kasulu, Kigoma MAAMBUKIZI ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yame pungua kwa Watoto chini ya miaka mitano kutoka asilimia 14.4 mwaka 2015 na kufikia asilimia 7.3 kwa Mwaka 2017 hii ni kuzigatia harakati zinazo fanywa na Wizara ya…





