Category: Kitaifa
CCM Tabora wakunwa na uteuzi wa Rais Samia, Mwinyi
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani hapa kimeunga mkono uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwapitisha Dkt Samia Suluhu Hassan, Dkt Hussein Mwinyi na Dkt Nchimbi kuwa wagombea Urais kupitia CCM mwaka huu. Pongezi hizo…
Wasira: Uamuzi wa Mkutano Mkuu umezingatia katiba ya CCM
*Awapa darasa wanaodai sababu ya CCM kupitisha wagombea urais *Asema yupo tayari kuwapa somo waifahamu vyema katiba ya chama Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliomchagua…
Serikali yaipa tano NMB kutenga bil. 100/- kukopesha wasambazaji nishati safi
SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Mfuko Maalum uliotengewa Sh. Bilioni 100 za kukopesha wasambazaji na wauzaji wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania, na kwamba Serikali itaingia kifua mbele katika Mkutano Mkuu wa Nishati wa Wakuu wa Nchi…
ACT Wazalendo yampongeza Lissu kwa ushindi
KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amempongeza Tundu Lissu kwa kushinda nafasi ya uenyekiti wa Chadema baada kumshinda mstaafu Freeman Mbowe. Tundu Lissu amepata ushindi wa kura 513 sawa na asilimia 51.5 Odero Charles Odero amepata kura 1…
Rais Samia, Mwinyi mitano tena
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wamempitisha Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Tanzania, kuwania nafasi hiyo kwa muhula mwingine katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Pia mkutano huo umempitisha…





