JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

SINGIDA KASKAZINI KUMEKUCHA, CCM WAPIGA FILIMBI YA KUTAFUTA KURA KWA WANANCHI

Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Singida kaskazini wakiwa kwenye viwanja vya mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Mtinko,singida vijijini juzi. Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria mkutano wa uzinduzi…

CHADEMA: VIONGOZI WA DINI MSIOGOPE KUIKOSOA SERIKALI

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimewataka viongozi wa dini kuendelea kuikosoa serikali na wasitishwe na mtu yoyote kwani bila wao kusema jamii ya Watanzania itaangamia.   Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,  ametoa kauli hiyo wakati…

KANISA KATOLIKI LAITISHA MAANDAMANO YA AMANI KUMPINGA RAIS KABILA

Kuna wasi wasi wa kukosekana utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayokabiliwa kwa sasa na mgogoro wa kisiasa kufuatia kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini humo kuitisha maandamano ya amani. Kabila ambaye waandaaji wa maandamano hayo wanamtaka atamke wazi…

ASKOFU KAKOBE: NINA UTAJIRI ZAIDI YA SERIKALI ZOTE DUNIANI

Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amesema haofii kuchunguzwa na serikali kuhusiana na ukwasi anaoumiliki na kuongeza kuwa fedha alizonazo ni Zaidi ya fedha zinazomilikiwa na serikali nyingi Duniani. Akizungumza wakati wa ibada ya…

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MIKOROSHO BORA RUANGWA, LINDI

Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa zao la korosho Kuhakikisha wanapunguza na kuondoa Miti ya Mikorosho ambayo Inamiaka mingi shambani ambayo Inasababisha Kutoa mavuno hafifu na Yenye Ubora usiohitajika katika soko lakimataifa.    Majaliwa ameyasema…

MBUNGE WA KIBAMBA, JOHN MNYIKA AWASHUKURU AKINA MAMA

Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Mh John Mnyika kupitia kwenye ukurasa wake Twitter amewashukuru wakina mama wa jimbo la Kibamba kupitia kikundi chao cha VIMA kwa kumualika kushiriki shughuli ya kufunga mwaka ya kikundi hicho. Mnyika amesema kuwa wataendelea kuwa…