JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Uhamiaji watoa pasipoti kinyemela

Idara ya Uhamiaji imeanza uchunguzi kuwapata watumishi wake walioshiriki kumpa hati ya kusafiria, Mkurugenzi wa shirika lisilo la serikali (NGO) la Pastoral Women Council (PWC), Maanda Ngoitiko, anayedaiwa kuwa ni raia wa Kenya. Shirika hilo linaloendesha shughuli zake Ngorongoro mkoani…

Madini moto

Serikali imetafuna mfupa mgumu ambao umepigiwa kelele na wananchi kwa muda mrefu, kwa kupeleka bungeni miswada wa marekebisho ya sheria kuwapa Watanzania haki ya kufaidi madini yao. Sheria zinazopendekezwa kurekebishwa ni; Sheria ya Madini, Sura ya 123(The Mining Act, Cap.123),…

Loliondo tena

Mkakati mahsusi umeandaliwa na raia wa kigeni kwa ushirika na taasisi mbili zisizo za kiserikali (NGOs) za hapa nchini, ukilenga kuichafua Serikali kupitia mgogoro wa ardhi katika Pori Tengefu la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha, JAMHURI limebaini. Raia wa Uingereza na…

TMF yaipa ruzuku JAMHURI

Wakufu wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) umelipatia Gazeti la JAMHURI Ruzuku ya Mabadiliko (Transformation Grant) kwa ajili ya kufuatilia habari za uchunguzi. Gazeti la JAMHURI, limepata fursa ya kupewa ruzuku sambamba na gazeti jingine la Mwanahalisi, na redio nne…

Atafuna mamilioni ya kijiji

Wananchi wa Kijiji cha Sango, Kata ya Kimochi, Wilaya ya Moshi Vijijini, wamepoteza mapato yanayofikia Sh milioni 60 katika kipindi cha miaka mitatu kutokana na fedha hizo kuliwa na Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho. Wananchi hao wamelieleza JAMHURI kuwa fedha…

Majaribu Ikulu

Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Acacia, inatuhumiwa kutaka kumhonga Rais John Magufuli, Sh bilioni 300 ili aruhusu kusafirishwa kwa makontena 277 ya mchanga wa dhahabu aliyoyazuia katika Bandari ya Dar es Salaam, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kiasi hicho cha fedha…